Kuna wakati Uganda walimchukua Prof Lipumba akawasaidie kuimarisha uchumi wako, then wakamchukua Balthazar Mwenda kwenda kuimarisha Mifumo yao ya Kodi
Wakati Ule Tanzania ilisheheni wasomi wa...
Wakuu salaam,
Imekuwa ni kasumba sasa kwa washabiki/viongozi pamoja na wachambuzi uchwara kuwa timu ya Simba ni bora hapa nchini kwakuwa bado ipo inashiriki ligi ya mabingwa barani Afrika...
Natafuta wazo la biashara ambalo lina almost Zero management.
Kama mjuavyo biashara au uwekezaji unahitaji management la sivyo hasara utakula mchana.
Katika fikiria fikiri nimeona
BIASHARA YA...
Peace,
Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana.
Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000.
Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia...
Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect...
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba ujana una makundi...
Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni.
Kingereza cha wakili huyo ni sawa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.