Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye, kikosa ajira yeye. Kila siku ananipa habari mbaya nahisi ana mikosi na najikuta Mimi ndo naumizwa na matatizo yake...
Habari wakuu, nauza jiko langu hapa(used) linatumia umeme na Gas( Plate mbili umeme na mbili zingine Gas) bado liko sawa sana. Bei Tzs 200k ( Laki mbili) Location-IRINGA.
0747518207
Mamlaka na Polisi endeleeni tu Kumficha tu huyu RC aliyelawiti Mwanafunzi wa Chuo huko Kanda ya Ziwa ila tutamjua tu kwa mabadiliko mafupi ya Dharula ya Mkuu wa Mikoa yajayo.
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawatangazia taarifa ya maamuzi ya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini kuhusu nauli za abiria wa daraja la kawaida kwa Treni ya...
Jana, habari zilisambaa kwamba ndege ya Makamu Rais wa Malawi Saulos Chilima ilipotea wakati wa safari kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu (Lilongwe) kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.