Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Binafsi kuzaliwa mtu wa jamii ya watu mweusi kumegeuka mkosi na sio tu kuzaliwa katika jamii ya mtu mweusi pia kuzaliwa Afrika& muafrika na pia sio tu kuzaliwa muafrika pia kuzaliwa Tanzania na...
1 Reactions
10 Replies
82 Views
Ndugu Wanajamvi, Ninawaletea mjadala wenye uzito wa kielimu na kifikra kuhusu maendeleo mapya katika teknolojia ya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mjadala...
2 Reactions
30 Replies
280 Views
Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za haka karembo duuh, kasauti kana chombeza aisee. Huyu dada anae sauti.
1 Reactions
3 Replies
15 Views
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni...
14 Reactions
72 Replies
951 Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
14 Reactions
439 Replies
8K Views
Mpaka muda huu inatafutwa haijulikani ilipo na muda wowote Rais wa Malawi anaenda Kuzungumza na Wamalawi. --- An aircraft carrying Malawi's Vice-President Saulos Chilima and nine others has gone...
5 Reactions
60 Replies
1K Views
Habari madaktari wetu! Mgonjwa amepata uvimbe kwenye viungo (Swollen lymph nodes) Mitaani huwa kuna imani kuwa mgonjwa akishafikia hatua hiyo ndiyo dalili za mwisho za kufariki, au akikazana na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Miaka hiyo sina hela afu ujana mwingi......kidogo nipagawe. Nikamcheki braza yangu MUBA MUBANDA....mzee wa kazi zote pale kariakoo. MIMI: Kaka mdogo wako sina kitu afu unavyojua lazima avensis...
48 Reactions
477 Replies
74K Views
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex. Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika...
38 Reactions
810 Replies
41K Views
Serikali inajipiga kifua kwamba katika Uongozi wa MAMA SAMIA RAIS WA JMT ,Demokrasia imestawi. Kiukweli usawa wa uendeshaji wa shughuli za kisiasa unabinywa chini kwa chini karibia kila Kona ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,970
Posts
49,846,460
Back
Top Bottom