Habarini jamani..Kuna binti niliwahi kuwa katika mahusiano nae miaka ya nyuma kipindi tupo secondary lakini mahusiano yetu yalivunjika mara baada ya sote kujiunga na chuo
Kwa sasa ni mke wa mtu...
Ni siku nyingine tena, nawasalimu
Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini?
Wanawake...
Kiwanja kipo Kimara Temboni
Barabara ya kwenda Matosa
Ukubwa ni square meter 1,200
Bei ni sh. 100,000,000/= (Milioni mia moja) Maongezi yapo kwa mteja serious
Kipo jirani na Kanisa katoliki...
Afande IGP Wambura, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni ,taratibu na tamaduni mbalimbali zilizopo.
Iweje Leo watu waamue tu kuwaibia Watanzania wenzao na ninyi...
Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Wafanyabiashara wa vifaa vya michezo, tunayo furaha kubwa kuwafahamisha kuwa sasa tuna msambazaji (Supplier) wa jezi original zenye ubora wa hali ya juu kutoka timu mbalimbali maarufu za Ulaya na...
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.