Mimi ni mgojwa wa vidonda vya tumbo Kuna dawa asili natumia Sasa hivi tumbo naweza kulialia halisumbui ila tatizo lililobaki kiungulia hasa nikitembea au nikilala kinakamata ila nikikaaa...
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
Humu wapo members Wana likes 1000 ambazo kiuhalisia zingekuwa pesa zingeweza kununulia vocha ya buku.
Wengine wana likes mpaka milioni 1 huko ambazo zingeweza kununulia smartphone kali.
Mimi...
Mbowe aliingia kwenye uenyekiti wa chama mwaka 2004, wakati huo Rais akiwa ni Mkapa.
Wakati Mbowe anaingia kwenye uenyekiti John Mnyika alikuwa na miaka 25, John Heche alikuwa na miaka 23, Tundu...
Katika pitapita zangu vijijini kulikuwa na ligi inaendelea katika kijiji kimoja wapo hapa nchini Tanzania.
Niache unafki nimevutiwa sana na uchezaji wa vijana wawili katika ile ligi.
Mmoja ni...
Hapa nazungumzia wafanya biashara sio wale wezi wa pesa za wananchi, changamoto inakuja kutafuta mtaji labda umepata milion 5-10, either umekopa au umepewa, changamoto ya kwanza ni kutafuta frame...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC.
𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 :
Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.