Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.
Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika...
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
Niwakumbushe...
Habari wakuu natumaini muko vizuri.
Maisha yangu yanaendelea kunishangaza kila siku kuhusu nyakati zangu, Nimekuwa nikiishi kama kijana mdogo wa kawaida lakini kumbe jamii hainioni kuwa ni kijana...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
Mbowe aliingia kwenye uenyekiti wa chama mwaka 2004, wakati huo Rais akiwa ni Mkapa.
Wakati Mbowe anaingia kwenye uenyekiti John Mnyika alikuwa na miaka 25, John Heche alikuwa na miaka 23, Tundu...
Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu...
Kwanza nianze Kusema by 2025 zaidi ya watu milioni 10(watanganyika) na watu laki mbili wazanzibar kulinganisha na 2020 watakuwa wamefikisha Umri wa angalau miaka 18, na Hawa wengi ni vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.