Kuna mwana, alizifuma text za mke wake zilizo onesha dhahiri shahiri ametoka kukiwa dodo siku za karibuni nyumba ya wageni, mwana kaomba kila mtu ushauri wengi walimpa ushauri kuwa asamehe walee...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji msaada wa maelezo wa uwanda wa ajira kati ya kozi Bsc in Environmental health science na Bsc in Environmental Science and managememt.
Je ipi ni bora?
Habari wakuu, hapa price itashuka au itaendelea kwenda juu,
I have made my own analysis but I just wanna here what do you see hii ni USDCAD, na ni 1H time frame!
Wakuu bila shaka ni wazima, bila shaka wote tunaelewa maisha yalivyojaa changamoto za kila aina.
Kuna watu ni wepesi kueleza yale yanayowasibu, ila kuna akina sisi ambao huwa tunakufa na tai...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
Kwa heshma na taadhima napenda kuwajulisha umma wa Watanzania. Kuwa tusiwe na haraka wala hofu 2030 Bumbuli tunakwenda kutoa kiongozi kijana Africa na duniani. Stay tuned!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.