Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Story hii ya CPA
CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni...
Dkt Hamis Kigwangalla, Mbunge na Mwanachama wa Simba, ameuomba uongozi mpya utakaoingia madarakani kwenye uchaguzi unaoendelea kwenye Club ya Simba , Uoneshe zilipo Bil 20 zilizowekwa na MO ...
Hivi kwanini wanawake siku za ibada hasa jumapili, wanaifanya kama ni siku ya fasheni na kujionyesha kwenye kujipamba na mavazi tofauti na makusudi ya imani.
Kuna wanawake bila nguo mpya anaona...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Habali ya jumapili wanabodi
Napenda kutoa hii taarifa kuhusu hospital ya private ya CHAULA Iko Songwe Vwawa.
Ukimpelekea mgonjwa wanawapa majibu ya uongo Tena magonjwa makubwa ili mtishike haswaa...
Habari zenu wapambanaji
Leo niko mbele yenu kutaka ushauri wa kimawazo kutoka kwenu ndugu zangu. Niko kwenye mpango wa kuingia kwenye kilimo kwa kumanisha hasa. Nina bajeti ya kiasi cha Tsh. 5M...
Hahahahaa......Mambo mengine inabidi tucheke tu hata kama yanahuzunisha.
Utangulizi
Marekani ina Majimbo 50 na jumla ya Wananchi( raia) wapatao Milioni 330+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022...
Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.