Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
5 Reactions
39 Replies
250 Views
Ukiwa katika mrija awamu hii usipojenga usilaumu mtu. Ni mwendo wa kufyonza kuanzia TRA, SGR, halmashauri pamoja na ripoti za CAG kuwataja wafyonzaji. Mwaka mpya wa Fedha unarudia kufyonza upya...
1 Reactions
8 Replies
61 Views
Wakuu bila shaka ni wazima, bila shaka wote tunaelewa maisha yalivyojaa changamoto za kila aina. Kuna watu ni wepesi kueleza yale yanayowasibu, ila kuna akina sisi ambao huwa tunakufa na tai...
3 Reactions
14 Replies
79 Views
NIELEWE KWA MAKINI SANA. Mungu wa Israel Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
26 Reactions
242 Replies
5K Views
Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC. 𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 : Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema...
2 Reactions
13 Replies
231 Views
Mheshimiwa Dkt. Betty Mkwasa anatajwa kuchukua nafasi ofisi Kuu. Kwa hakika tumepata jembe. All the best
3 Reactions
50 Replies
1K Views
NUKUU “Nimepata taarifa kuwa kisiwa chetu cha Mafia kilichopo Tanganyika kinapigwa bei (kinauzwa). Naomba tuendelee kufuatilia na kupiga kelele,”… Dokta Willibrod Slaa...
12 Reactions
140 Replies
2K Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
36 Reactions
261 Replies
3K Views
Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi. Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu. Noa Argamani, ambaye utekaji...
11 Reactions
190 Replies
3K Views
ROYAL TOUR KUONGEZA IDADI YA WATALII KUPATA CHANGAMOTO https://m.youtube.com/watch?v=Bl1CZq_Uwr4 Mr Chambulo mwenye uzoefu wa industry ya utalii na mwenyekiti wa mawakala wa utalii wa muda mrefu...
4 Reactions
8 Replies
682 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,457
Posts
49,830,913
Back
Top Bottom