Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Yaani pisi zimekuwa nyingi mpaka unahisi shetani anakutafuta, pisi zipo full ni ww tu tafuta pesa Acha kabisa kubaka watoto watoto Linda mototo wa mwenzio Deal na hzi pisi za kumwaga 18+,
15 Reactions
82 Replies
732 Views
Kabla ya kuingia kwenye ndoa kuna zile FACTORS za muhimu kila mtu huwa anazingatia. Kutokana na utofauti wa kimtazamo na fikra kila mtu anakuwa na Criteria zake. Kutokana na uelewa, experience na...
4 Reactions
66 Replies
323 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
TOYOTA HARRIER -Anaconda Mwaka 2015 Rangi Black Metallic Engine 1990cc Mileage 97,000km Bei 68m 📌Sunroof 📌Modelista Body Kit ☎+255626682228
2 Reactions
4 Replies
14 Views
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja. Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga...
6 Reactions
72 Replies
696 Views
Mashairi ya nyimbo za Roma mkatoliki yanafikilisha Sanaa 😊 Ukipata muda zisikilize
4 Reactions
28 Replies
300 Views
https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm Huko ni Burkina Faso. Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka...
8 Reactions
26 Replies
345 Views
Rafiki yangu mpendwa, Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo. Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni...
17 Reactions
46 Replies
526 Views
Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi...
23 Reactions
83 Replies
2K Views
Jeshi la Israel linasema kuwa vikosi vyake vimewaokoa mateka wanne kutoka katikati mwa Gaza wakati likizidisha mashambulizi katika eneo lililozingirwa na kushambuliwa kwa mabomu. Tangazo kuhusu...
1 Reactions
20 Replies
243 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,402
Posts
49,829,082
Back
Top Bottom