Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi stori iko hivi, Mnamo mwaka 2020 nilianza kuwa na mahusiano na binti mmoja(mcha Mungu sana). Alikuwa anasoma chuo fulani jijini Arusha, nakumbuka hicho kipindi nilifanikiwa kupata tempo...
0 Reactions
5 Replies
142 Views
Wadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini. Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu...
11 Reactions
96 Replies
3K Views
Ndugu wana-Jamvi Wakati Vuguvugu la Uchaguzi linazidi kupanda kuelekea mwakani 2025, wabunge matumbo joto kila kona na tayari sarakasi zimeanza. Wilaya ya Mufindi imekuwa kwenye dawati kwanza...
1 Reactions
3 Replies
137 Views
Wazungu, Waarabu, na Viongozi wa Asia hawapendi Phd za heshima? Mbona hawapewi? wana makosa gani? wanakwama wapi? Ukifuatilia hizi Phd za Heshima utagundua zinatolewa kwa viongozi wa Africa tena...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo...
18 Reactions
175 Replies
6K Views
Habari Wakuu, Kumekuwa na taratibu ya mitaa mbalimbali hasa uswahilini viongozi wanaweka utaratibu wa kuweka Sungusungu kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwa utaratibu wa kila nyumba kuchagia...
1 Reactions
3 Replies
100 Views
Nikiri nimechagua kuibiwa kibwege kabisa. Niliona mtu mmoja anayetangazwa na KIGOGO2014 huko Instagram kuwa anauza bando kwa bei nafuu. Nikamfata inbox kuomba kujua zaidi kuhusu hiyo huduma...
6 Reactions
19 Replies
379 Views
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo. Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
13 Reactions
246 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Natanguliza shukrani. Kuna mdogo wangu kwenye haya matokeo ya mwaka huu mwezi wa pili ya kidato cha nne alipata ufaulu wa DIV 2 YA 18(CIVICS: C, HISTORY: B, GEOGRAPHY: C...
4 Reactions
18 Replies
292 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,487
Posts
49,831,862
Back
Top Bottom