Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mkubwa Dawa, hii ndio lugha ambayo vijana wa mitaa wanaitumia, hasa pale mtu mzima anapofanya jambo la kufurahisha ama kushangaza. Mkongwe Juma Kapuya ametangaza kurejea Bungeni 2025 kwa kugombea...
1 Reactions
6 Replies
7 Views
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja. Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga...
5 Reactions
63 Replies
498 Views
Habari zenu wanajamvi? Watu wengi hasa wafuatiliaji wa mambo yanayoendelea nchini kwenye uga wa siasa wameshtushwa kwa ukubwa sana juu ya uwezo wa Lissu kufanya mikutano bila nguvu ya ufadhili wa...
11 Reactions
74 Replies
459 Views
Salaam, Shalom!! Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi, Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa...
8 Reactions
34 Replies
421 Views
Umeil Kheir, mwanamama mtangazaji wa Radio DW Swahili ya Bon Ujerumani amestaafu Leo. Ameitumikia radio hii tangu mwaka 1988 akiwa binti kabisa. Atakumbukwa Kwa sauti yake ya aina yake. Mwanamama...
19 Reactions
63 Replies
8K Views
kuna series nyingi zinazo toka ila hii series inatisha ila ina ujumbe .
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Leo nataka niwape stori ya kweli najua kila mmoja wetu anamambo yake kutokea huko nyuma katika maisha yake watayatoa kwa wakati wao ila mimi nimona muda huu unanifaa kushare haka kastori kafupi...
7 Reactions
10 Replies
582 Views
Bodi ya mikopo imefungua rasmi dirisha la maombi. Kazi kwenu.
1 Reactions
11 Replies
377 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo tarehe 08/06/2024 kinafanya Mkutano wake wa hadhara Singida Mjini, ambako Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atahutubia wananchi. Kama ilivyo...
6 Reactions
31 Replies
738 Views
PDF mmelishuhudia bibie Zuhra OUT. Sasa ni zamu ya Kikeke. Pia soma Lakini kusema ukweli Zuhura hakutosha ile nafasi! Kitu pekee aliongeza ni Press tu, kwenye Branding alifeli Zuhura Yunus...
4 Reactions
41 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,364
Posts
49,827,768
Back
Top Bottom