Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Marekani / ulaya kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafnya kazi za kipato cha chini kwenye godown analipwa elf 40 kwa saa anajirekodi akiwa ndani ya gari...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema Ukweli ni lazima usemwe Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya Kitenge amesema kwa mfano madai ya uzushi ya kuuza Bandari ilimlazimu...
1 Reactions
12 Replies
211 Views
Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu" Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za...
1 Reactions
36 Replies
501 Views
Habarin wa JF natumaini mko powah kabisa Huyu fundi simu amenishangaza sana mpaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wahanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa yangu...
5 Reactions
73 Replies
1K Views
John alikuwa kijana mdogo mwenye ndoto nyingi. Lakini ndoto hizo zilifunikwa na kivuli cha uraibu wa madawa ya kulevya. Alikuwa amejikwaa kwenye dimbwi la matumizi ya madawa ya kulevya kwa miaka...
0 Reactions
5 Replies
58 Views
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba...
15 Reactions
88 Replies
1K Views
Ni kama Rais anategewa kwa maksudi na wasaidizi wake ili abebe lawama na aibu yeye Na bahati mbaya nadhani walishamjua udhaifu wake kuwa huwa hapitii na kusoma kile kimeletwa mezani Wasidizi...
5 Reactions
22 Replies
308 Views
TUambiane jamani tujue
2 Reactions
50 Replies
550 Views
Kwenu wenye mamlaka, naandika ujumbe huu nikiwa ndani ya Basi la Saibaba kutoka Ars kwenda Dar, basi hili ni la safari ndefu lakini linasimamisha abiria kama Daladala. Hili ni Moja nililoshuhudia...
2 Reactions
4 Replies
90 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,035
Posts
49,817,590
Back
Top Bottom