Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya? Ikulu imekuwa kichekesho...
20 Reactions
147 Replies
6K Views
Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili. Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara...
2 Reactions
44 Replies
616 Views
Kwa siasa za Kenya Raila Odinga ndio kiongozi wa Chama chake tangu nyakati za Moi, akaja Kibaki, akaja Uhuru Kenyatta na sasa William Ruto na hakuna tatizo kabisa make anasimamia idea yake. Nani...
0 Reactions
2 Replies
48 Views
Bei sticker za kawaida (plain) Kwenye cm 3k Kwenye pc 15k Bei sticker za picha Kwenye cm 5k Kwenye pc 20k Pc nzima 25k
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Madame President Samia Suluhu Hassan went to the Korea-Africa heads meeting,but is it really fair for African Presidents to be summoned like children by a single head of state?It should be noted...
3 Reactions
30 Replies
893 Views
Baada ya Kesi iliyomkabili yeye pamoja Meya Mstaafu Boniface Jackob kuahirishwa, hadi Tarehe 04/07/2024, Jeshi la Polisi limemkamata Bwana Malissa na kuanza Safari ya kuelekea Mkoani Kilimanjaro...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
🚨 BREAKING. wajumbe wote wa bodi ya klabu ya Simba SC kutokea upande wa muwekezaji, Mohamed Dewji wamejiuzulu Mohamed Dewji aliwapigia Simu wajumbe wote wanaotokana na upande wake ambao...
2 Reactions
13 Replies
91 Views
Mambo mengine ni serious sana, mfano haya mambo mbona kama ni makubwa na baadhi inaonekana hayana ukweli?
2 Reactions
7 Replies
381 Views
Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali.
17 Reactions
136 Replies
9K Views
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye a) Uchumi b)...
1 Reactions
3 Replies
65 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,846
Posts
49,812,937
Back
Top Bottom