Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tumeendelea kufuatilia ili kujua sababu hasa ya Bwana Malissa kukamatwa tena leo na kwamba eti ana kesi mpya huko Kilimanjaro. Katika machache tuliyoyapata ni kuhusika kwa Adolf Mkenda...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Vitz kijicho Cc 990 Mafuta inanusa Full ac Hain kipengele gari imetunzwa sana Dada anatak mil 6.5 maongezi kidogo yapo 0783610244
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
24 Reactions
168 Replies
3K Views
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi? Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu...
4 Reactions
35 Replies
780 Views
Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru. Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli
1 Reactions
10 Replies
280 Views
Umuofia kwenu Wakuu. Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo. Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka...
0 Reactions
4 Replies
34 Views
Kuna wakati nawaza hivi wanaume wana ugonjwa upi kwenye makalio ya mwanamke? maana ukitaka kujua ugojwa wa mwanaume ni uwe na kalio la maana upite mbele yao hii mpaka utaona kero maana minongono...
3 Reactions
188 Replies
61K Views
Kwanza picha linaanza Ile style yake ya mbuzi kagoma lahaula nusu nimwage ubongo wakuu nikajikuta nalia huku nauma meno wigi la nywele lake aisee huyu binti ni mnoma Sana aisee na kwenye kukatika...
5 Reactions
35 Replies
985 Views
Wakuu salama, Natumai MUNGU amewaamsha salama na tuko katika mapambano ya maisha! Kwa wale wagonjwa MUNGU awape wepesi mpone haraka. Wakuu nimekuja kwenu nina shida moja naamini vichwa humu...
10 Reactions
70 Replies
823 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,838
Posts
49,812,735
Back
Top Bottom