Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi. Waziri Makamba...
6 Reactions
83 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali...
20 Reactions
66 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa...
5 Reactions
45 Replies
1K Views
PDF mmelishuhudia bibie Zuhra OUT. Sasa ni zamu ya Kikeke
1 Reactions
5 Replies
80 Views
Habari zenu wanawake wenzangu wa MMU. Karibuni tujadili changamoto zinazotupata kipindi ambacho wapenzi wetu wawapo mbali, kikazi au kwa shughuli yoyote ile inayowafanya msionane kwa mda mrefu...
17 Reactions
210 Replies
35K Views
Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi? Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu...
9 Reactions
69 Replies
2K Views
Hii haikutokea jana wala juzi, huyu ni mwanamke mtu mzima tu naweza kusema hivyo, na mwenye akili timamu. Suala lililonileta ni kuwa ananitishia kunishtaki, na kaanza muda mrefu kidogo. Tulikuwa...
2 Reactions
12 Replies
637 Views
Jana jioni nikiwa nimereluxy nyumbani kwangu na ukizingatia wyf alikua katoka kdg,nikaanza kujiona mwepec yani ule wepec uxio wakawaida. Ghafla najiona naelea chumbani kwangu na vipepeo wa kike...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu naamini mu wazima na mnaendelea vizuri na TOZO. Mimi nimekutana sana na visa vya kupendwa na wake za watu kimasihara sihara mpaka nahisi ni pepo. Wadada single nawapata kwa nadra sana. Ila...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe. Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa...
6 Reactions
37 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,884
Posts
49,813,839
Back
Top Bottom