Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kanuni inasemema "Taarifa ya mabadiliko ya uwanja inatakiwa kutolewa siku 7 kabla ya mchezo" lakini imekua tofauti kabisa kwenye mchezo wa Simba sc vs KMC kwani jumamosi iliyopita timu ya KMC...
5 Reactions
27 Replies
673 Views
Habari natafuta marafiki wakubadirishana mawazo especially wanachuo lengo nikubadirishana mawazo
11 Reactions
53 Replies
554 Views
Huu mradi una maswali mengi ambayo binafsi ninakosa majibu. Tunajua na kutambua kwamba kuna gharama za uendeshaji wa mradi, ikiwemo kulipa mishahara wafanyakazi,mafuta, matengenezo n.k Lakini...
1 Reactions
3 Replies
36 Views
Pamoja na kukalia kiti cha uraisi kwa kipindi kifupi, marehemu Ebrahim Raisi wa Iran aliyekufa kwa ajali ya helkopta atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashujaa wa nchi hiyo. Katika kipindi chake...
2 Reactions
11 Replies
324 Views
Namzungu best yangu kanitext ananiuliza which is the best dish for me to buy so i can watch movies and other good stuff
2 Reactions
22 Replies
206 Views
Mumbai (Maharashtra) [India], Mei 22 (ANI): Wakati uchaguzi wa Lok Sabha unafanyika nchini India katika awamu ya saba, Balozi wa Marekani nchini India, Eric Garcetti amesema kuwa Dunia...
0 Reactions
0 Replies
4 Views
Habari ndugu wana jamii forum, nina gari aina ya nissan duals ya mwaka 2011 nikipita kwenya mashimo nackia kama ingonga gonga kwa mbalii naomben anayeweza kujua tatzo itakuwa ni nini kabla cjaenda...
0 Reactions
4 Replies
69 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
928 Reactions
1M Replies
41M Views
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
27 Reactions
159 Replies
4K Views
Dar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki. Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa...
17 Reactions
194 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,421
Posts
49,690,680
Back
Top Bottom