Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Korea Kusini imesaini mikataba 50 ya biashara,mikopo na sekta za Rasilimali na Nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Rais wa Korea amesema anaendesha sera ya ushirikiano wenye faida kwa.pande Mbili...
1 Reactions
31 Replies
411 Views
Hello! Huu ndio ukweli kuwa vijana wasomi wa Zanzibar hawana changamoto ya ukosefu wa ajira kama ilivyo vijana wa Tanganyika a.k.a bara. Vijana ombeni kibali cha ukaazi wa Zanzibar, wengine...
1 Reactions
7 Replies
8 Views
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali. Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu...
2 Reactions
90 Replies
466 Views
Wengi wanapo enda kuoa vigezo wanavyo zingatia ni pamoja na : Mwanamke mwenye tabia nzuri, Mcha Mungu, Mwenye heshima, Adabu na nidhamu. Mkweli, Mwaminifu, Mtiifu, mvumilivu, mwenye akili ya...
88 Reactions
241 Replies
24K Views
Habari zenu mimi nikijana wa kitanzania umri wangu 35 sio mlefu wala sio mfupi sio mnene wala sio mwembamba dini yangu ni Muslim naish Dar ni mfanya biashara naitaji mwanamke awe Muslim miaka 20...
1 Reactions
6 Replies
86 Views
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi! Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi...
30 Reactions
156 Replies
3K Views
Wale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama...
27 Reactions
310 Replies
37K Views
Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo. Ukweli...
35 Reactions
191 Replies
3K Views
TK movement ni vuguvugu lililoanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo kuu la kuwaleta pamoja vijana ili kuwajengea fikra za kimapinduzi. Hatahivyo baadhi ya wanasiasa na wana habari wamekuwa...
2 Reactions
27 Replies
695 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,589
Posts
49,806,449
Back
Top Bottom