Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Innocent Chengula (23) kwenda jela miaka saba, baada ya kupatikana na makosa sita likiwamo la kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa...
Michezo, Sanaa na utamaduni ni ajira, burudani, biashara na utambulisho wa Taifa. Sekta ya michezo, sanaa na utamaduni ni sekta muhimu kiuchumi katika nchi zilizoendelea kwa mfano nchini...
Kweli Dar es Salaam imejaa vituko, vitimbi na watu wenye matatizo ya akili. Hivi inawezekanaje mwanamke uliyepevuka kiakili na utimamu wa mwili unaenda kupanda usafiri wa umma(daladala au...
Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha TV 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki...
Baada ya mgomo wa madaktari Tanzania ulioacha vifo vingi na kufanikisha maboresho mengi katika sekta ya Afya miaka kadhaa iliyopita Sasa na Walimu nao wamekuja na mgomo baridi usioonekana kwa...
Katika mazingira ya kisiasa, uwepo wa vyama vingi vya siasa ni ishara ya demokrasia na uhuru wa kisiasa. Hata hivyo, idadi kubwa ya vyama vya siasa inaweza kuleta changamoto za kiutendaji na...
Awamu ya 5 imejitahidi sana kujenga miundo mbinu ya uchumi kama Stiglers Gorge Hydro Electric Power, Standard Gauge Railway na barabara mbali mbali zinazounganisha mikoa.
Kwa upande wa sekta...
Utalii sio lazima uende Serengeti
Moja ya utalii ni kwenda mikoa ambayo hujawahi kufika unaweza ukajikuta unafurahia pia
Kuna siku nilipanda basi tu nikasema ngoja nikaione Mtwara kama masihara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.