Mimi nilitamaani mama afanikiwe na bado natamaani!
Mimi ni wale tuliotolewa upinzani kwa 'lazma' na kuniunga CCM..
Sijui leo nina sura gani?
Ila kwasababu sura ya kwanza ilikuwa kusema ukweli...
Pipoooooooooooozi
Moja kwa moja kwenye mada. Katika kipindi hiki ambacho Main stream nyingi na Online media zimeamua kuwa Tawi la CCM nafikiri ni wakati sahihi wa chadema sasa Munatakiwa kuwa...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi-Sugu Moto Chini amekabidhi Madera 100 kwa Jumuiya ya Wanawake BAWACHA pamoja na Vitabu 50
Sugu ametoa taarifa ya makabidhiano Ukurasani X...
Kwa nyakati tofauti kumekuwa na Viongozi walionukuliwa wakisema "Nchi hii imechezewa sana, Nchi iligeuzwa Shamba la Bibi lakini wahusika hawatajwi. Wapo waliowahi kutoa kauli za Vitisho ikiwemo...
Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi?
===
Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii...
Wakuu hope salama, polenii na majukumu ya kulijenga taifa na familia kwa ujumla.
Dhumuni la kuandika huu uzi ni namna now navyojiskia, ilikuwa mwaka 2018 baada ya kumaliza chuo nikiwa kitaa sina...
Wale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.