Takribani watu 150 wanahofiwa kufariki katika mauaji kwenye kijiji kimoja katikati mwa Sudan, lawama zikielekezwa kwa Kikosi cha Wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF), kundi la wanamgambo...
Wakuu hope salama, polenii na majukumu ya kulijenga taifa na familia kwa ujumla.
Dhumuni la kuandika huu uzi ni namna now navyojiskia, ilikuwa mwaka 2018 baada ya kumaliza chuo nikiwa kitaa sina...
Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania.
Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam.
Alianza...
Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kashushwa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)...
Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili.
Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara...
Huu hapa ni Mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Kinyeto, Jimbo la Singida Kaskazini, uliofanyika leo saa 3 asubuhi .Ikumbukwe kwamba Lissu amekwisha toa angalizo la kufuatiliwa na kikundi cha...
'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25
Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.