Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukatili wa majumbani huwa hususani kwa wanawake ila pia sasa kuna tatizo la unyanyasaji kwa wanaume ni tatizo kubwa lakini mara nyingi halionekani, hasa kwa sababu ya jinsi wanavyokuwa wanaonekana...
4 Reactions
60 Replies
512 Views
ni faida au hasara gani mtu mke au mtu mume anaeweza kuzipata endapo atakurupuka, atalazimisha au kulazimishwa kufunga ndoa kwa maana ya kuoa au kuolewa?🐒
1 Reactions
2 Replies
26 Views
Wanawake wengi wakimaliza ujana, wataanza kuomba wapate mume , wakipata, watatupilia mbali mara moja ahadi zote walizotoa kwa Mungu baada ya kupata mtu asiye na hatia. Wanawake wengi wanaokula...
2 Reactions
13 Replies
96 Views
  • Suggestion
Awali ya yote, naomba nieleze historia yangu kwa ufupi. Nia na madhumuni niweze kujenga picha ya jumla katika lengo zima la uzi huu. Nilizaliwa katika mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, Baba yangu...
15 Reactions
56 Replies
875 Views
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
11 Reactions
212 Replies
2K Views
nimekuandalia notice nzuri sana za biology ambazo zina kila maudhui yanahitajika kwa ajiri yako ndani yake topic zote zinazotoka kwenye practical
1 Reactions
1 Replies
3 Views
Msanii Roma ameachia kionjo cha wimbo wake mpya na moja ya mstari wa huo wimbo ni huu mstari anaosema "Kwani aliyemteka Roma, si ndio aliyevamia Mawingu''. Wajuzi wa mambo amemaanisha nini...
1 Reactions
23 Replies
446 Views
Ndoto, matarajio na matamanio ya Watanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi (CCM). Hii ni kutokana na mipango na mikakati yake katika kuwaongoza...
3 Reactions
65 Replies
450 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali...
17 Reactions
40 Replies
932 Views
Kama Uenyekiti tu wa Chama chenye mbunge Mmoja hataki kuachia je Urais wa kutawala raia million 60 angeachia kweli? Kwa Mifumo yake ilivyo Chadema wanapaswa kuishia Bungeni kama walivyoshauriwa...
3 Reactions
12 Replies
112 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,541
Posts
49,805,014
Back
Top Bottom