Tukiendelea kulaumu mikataba ya ki chief Mangungo wa Musovero hatuwezi saidia kitu. Dawa ya yote hata ni Halmashauri Kuu kumtafuta mtu mwenye sifa moja tuuu ya utunzaji wa rasilimali za taifa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa
kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
Kondomu zilizotumika katika Roma ya Kale zilitengenezwa kwa kitani na utumbo wa wanyama (kondoo na mbuzi) au kibofu. Inawezekana kwamba walitumia tishu za misuli kutoka kwa wapiganaji waliokufa...
Ndoto, matarajio na matamanio ya waTanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi CCM..
Hii ni kutokana na mipango na kimkakati yake katika kuwaongoza...
Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi...
Habari ya asubuhi.
Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share
Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.