Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tulioshuhudia NCCR ikisambaratika kama tikiti maji lililotupwa kutoka ghorofa ya 50, sasa, kwa macho yao, watashuhudia anguko la chadema. Chama hicho ambacho kinajinasibu kwa kula rushwa...
1 Reactions
5 Replies
43 Views
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho. Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
4 Reactions
53 Replies
942 Views
Mwambie mkeo umeandikisha jina la mtoto wenu kwenye hati ya kiwanja na nyumba Reaction yake rudi kwa mrejesho.
2 Reactions
16 Replies
475 Views
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja. Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
12 Reactions
96 Replies
2K Views
Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
10 Reactions
352 Replies
3K Views
Wimbi la magari ya kifahari kutumika kusafirisha wahamiaji haramu kutoka Ethiopia, linazidi kushika kasi nchini na safari hii gari linalodaiwa kuwa la Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
3 Reactions
28 Replies
976 Views
Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha...
4 Reactions
41 Replies
399 Views
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali. Anyone who is...
9 Reactions
140 Replies
2K Views
Basi linauzwa Nissan Cb 31 Namba B Engine Nissan CB31 Haina turbo Gearbox_Gia sita Siti 46 Bei 20,000,000/= Halina tatizo Gari ipo Tanga mjini Call, SMS, Whatsap 0759399805
1 Reactions
3 Replies
55 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,405
Posts
49,801,137
Back
Top Bottom