Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi...
Mada imejieleza wakuu.
Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa.
Kwa sasa anaonekana amesha pata...
Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Tofauti na miaka mingine yote, kwa sasa watumishi wa Umma wameamka kutoka usingizini.
Wengi wao wameshagundua kuwa, mtetezi wao mkubwa si Wabunge wala serikali bali ni Viongozi wa vyama vya...
Habari,
Naitwa device frabius mkazi wa Dar es Salaam Mikocheni natafuta pikipiki mpya iliyosimama kwa mkataba
Kwa siku 10,000/= ikiwa boxer itapendeza zaidi, nahitaji kwasababu ya Bolt.
0617146950
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya...
Habari za Harakati za kiuchumi.
Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo.
Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.