Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Na Bollen Ngetti 0683 226539 B-pepe bollenngeti@gmail.com SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba...
6 Reactions
109 Replies
2K Views
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo 2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi 3. Kuna...
15 Reactions
174 Replies
26K Views
Hello hello hellooooooo. Mko salama jamani😉😉 Leo ni birthday ya Chakorii. Karibu tusheherekee pamoja 🫶🫶 Mtoto ninapokea zawadi🥳🥳🥳 Huhuhuuuu🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️ 🥂🥂🥂🥂
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
57 Reactions
224 Replies
5K Views
Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
17 Reactions
456 Replies
6K Views
Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal. Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine. Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail. Nitaweka...
2 Reactions
15 Replies
9K Views
Habari ninaomba msaada wa kisheria ili haki iweze kutendeka , nimetishiwa kudhalilishwa na Mtoa huduma wa Pesa X inayomilikiwa na singularity Company kama inavyooneka hapo chini
0 Reactions
8 Replies
74 Views
Juma Athumani Kapuya. mwanasiasa toka Tbora aliyefikia ngazi ya juu ya siasa kwa kuwa Mbunge wa Urambo, Waziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, na Professor wa...
8 Reactions
38 Replies
871 Views
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa Sarafu za sh 500,200,100 na 50 pasipo kupatikana mwafaka wa usumbufu huu Ukweli ni kuwa sarafu hizi zinaibiwa na Wachina kupitia Mashine za kamari zilizotapakaa kila...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,204
Posts
49,795,237
Back
Top Bottom