Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao Lisu amewaambia anaelekea mkoani...
5 Reactions
12 Replies
189 Views
Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao. Vile vile madereva wa hayo magari, kama...
44 Reactions
75 Replies
1K Views
Heshima sana wanajamvi, Nimekuwa na utaratibu wa kutembelea hifadhi zetu za wanyama kwa muda mrefu sasa labda huu ni mwaka wa 10 au zaidi. Nimetembelea hifadhi ya Serengeti zaidi ya mara nne au...
11 Reactions
25 Replies
552 Views
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya...
15 Reactions
102 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa...
18 Reactions
81 Replies
2K Views
Takriban kwa wiki tatu sasa jeshi la Israel limekuwa likipigana vita vikali vya mtaa kwa mtaa maeneo ya kaskazini ya Gaza. Mwishowe jeshi hilo lilitanga hapo juzi kuwa limedhibiti kambi yote ya...
1 Reactions
11 Replies
239 Views
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa...
6 Reactions
59 Replies
1K Views
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe...
3 Reactions
40 Replies
769 Views
Majigambo, kelele na fujo za kuzisifia Tank za Abrams katika Luninge, magazeti, radio na mitandao mbalimbali na kutuaminisha sisis wasomaji wa dunia nzima kuwa Ukraine inakwenda kushinda vita...
4 Reactions
16 Replies
615 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,924
Posts
49,759,781
Back
Top Bottom