Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha...
7 Reactions
66 Replies
1K Views
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana. Tundu Lissu alimkimbia...
1 Reactions
12 Replies
181 Views
Kampuni ya COSCO Shipping, ambayo ni mali ya serikali ya China, imeanzisha meli kubwa zaidi inayoitwa Green Water 01. Meli hii kubwa, yenye uzito wa zaidi ya tani 10,000, inafanya kazi kwa...
7 Reactions
10 Replies
444 Views
Ni aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa. Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu. Ahsante
7 Reactions
22 Replies
92 Views
Habarini, Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha...
6 Reactions
33 Replies
404 Views
Wasalaaaaaam wazeee... Juzi jumapili nilitembelewa na mpenzii wangu ambaye tuna miezi tatribani minne toka uhusiani wetu ulipoanza. Sasa tumekaa sitting room kwenye channel flani ikawa inapigwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema huduma ya Intaneti yenye kasi ya 6G imeingia rasmi nchini Tanzania
6 Reactions
38 Replies
397 Views
Wakuu samahani.. Naomba mnisaidie ushauri. Inaeza ikawa so mahala pake.. Niko chuo first year Nachukua bachelor ya human resource Ila sijapata mkopo Me ni fresh toka advance. Sasa nilikuwa...
4 Reactions
108 Replies
5K Views
Inashangaza unakuta mfanyakazi mwenzako kasoma Sawa ana master ila kuandika kuomba hela za miradi Kwa ma donors wetu hawezi sijui niseme hana idea wakati kila kitu kipo Google ni yeye kusuka tu...
20 Reactions
67 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,209
Posts
49,597,158
Back
Top Bottom