Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza. Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira. Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
17 Reactions
206 Replies
1K Views
Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji. Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa. Kuna baadhi ya...
5 Reactions
46 Replies
1K Views
Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili. . Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu...
6 Reactions
17 Replies
491 Views
Suala la mwanamke kuhudumiwa na mwanaume lilikua na mantiki kwenye jamii ya zamani ambapo mwanamke hakupewa nafasi katika nyanja yoyote ya maendeleo. Kwa sasa mwanamke kapewa access zote za kuwa...
22 Reactions
173 Replies
5K Views
Hizi courses ni bure, unatakiwa tu kujisajili Hapa lazima unatoka uko bomba kabisa na ulichokisomea IT NETWORKING https://skillsforall.com/course/networking-basics?courseLang=en-US CYBER...
2 Reactions
14 Replies
175 Views
Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
5 Reactions
67 Replies
3K Views
Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana Nawatakia Dominica Njema 😄
7 Reactions
62 Replies
371 Views
Habari ndugu Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama...
2 Reactions
39 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kikwete anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali...
1 Reactions
3 Replies
50 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,315
Posts
49,570,171
Members
667,863
Latest member
shumoli
Back
Top Bottom