Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama nilivyowahaidi kuwa itaendelea, kwa wale mlioanza na sehemu hii 👉🏽 Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe Basi inaendelea kama ifuatavyo; Baada ya Mfalme...
2 Reactions
4 Replies
49 Views
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
11 Reactions
64 Replies
3K Views
Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika? Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari...
14 Reactions
18 Replies
484 Views
SOLIDALITY! Mei Mosi, au Siku ya Wafanyakazi Duniani, ilianza kama harakati ya kutetea haki za wafanyakazi katika karne ya 19. Mnamo mwaka 1886, maandamano ya wafanyakazi nchini Marekani...
0 Reactions
6 Replies
31 Views
Kumekucha Arusha naona mwitikio mkubwa wa wafanyakazi je! Wamelazimishwa?(tetesi) na je kama ni Kwa hiari yap wanamategemeo Gani? Sina hakika kama Kuna jipya maana Kwa mara ya kwanza mgeni...
29 Reactions
72 Replies
3K Views
kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la jamii forum kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu. KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi...
11 Reactions
50 Replies
797 Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
75 Reactions
4K Replies
253K Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
22 Reactions
266 Replies
4K Views
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
23 Reactions
210 Replies
9K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,104
Posts
49,537,501
Members
667,323
Latest member
evaristy
Back
Top Bottom