Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jeshi la Polisi limewakamata Watu Wawili waliomdhalilisha Waziri wa zamani wa Miundombinu Dr Shukuru Kawambwa Aidha Jeshi la Polisi limemtaka mtu aliyerekodi tukio la udhalilishaji huo na...
6 Reactions
49 Replies
3K Views
A
Mwanzoni Miaka ya 2000 kila mvua iliponyesha wakati wa kuvuka Barabara tulikuwa tunalazimika kuvua viatu na kukunja nguo kisha tunavuka. Miaka zaidi ya 20 baadaye hali tuliyoizoea kuvuka kwenye...
1 Reactions
2 Replies
283 Views
Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250 Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu...
19 Reactions
205 Replies
8K Views
Watanzania tumekuwa na tabia ya kuchukulia mambo juu juu na kuhamaki kabla ya kuyaangalia Kwa undani na kutokana na kutokuaminiana kwenye masuala ya fedha kila kitu tunakihusisha na upigaji...
1 Reactions
4 Replies
55 Views
Tumeona video waziri wa Ulinzi wa Isreal akipata jali ndogo anahema anatetemeka wote huku akionekana kama amezimia kwa mshtuko. inaonekana kachanganyikiwa baada kigari kidogo kugeuza njia na klala...
2 Reactions
16 Replies
334 Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
33 Reactions
344 Replies
15K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
162K Replies
4M Views
1. Hawa ndiyo wale vigogo wachache wa aina ya South Africa huko: 2. Kwamba Natenyahu ni kama yale mapanya road yale ya pande za kwetu tu? 3. Ana sifa gani, wapi, kiumbe huyu kwenye ulimwengu...
0 Reactions
2 Replies
51 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,947
Posts
49,501,356
Members
666,901
Latest member
Unyade wade
Back
Top Bottom