Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu. Maisha ni yamenizonga sana nataka kuanza kunywa pombe angalau nipoteze kuwaza sana. Ni kinywaji gani hakina alcohol kubwa lakini kinatuliza mawazo? Nawaza sana maisha mpaka nakonda...
3 Reactions
42 Replies
629 Views
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012...
5 Reactions
110 Replies
3K Views
Salamu, basi jana nikaona nichukue pombe kali nikanywee nyumbani, yule muuzaji akaniwekea kwenye bahasha nyeupe yenye maandishi pande zote, nilipofika nyumbani nikapiga fundo la kwanza na la pili...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8 Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua) Ametangaza kukata...
17 Reactions
153 Replies
4K Views
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo. Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
1 Reactions
20 Replies
297 Views
Mauaji yanayohusiana na Jinsia (mauaji ya Wanawake) yanaweza kuchochewa na Majukumu ya Kijinsia yaliyozoeleka, Ubaguzi dhidi ya Wanawake na Wasichana, uhusiano usio sawa wa Kijinsia, au kanuni...
1 Reactions
4 Replies
144 Views
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe. Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu...
16 Reactions
60 Replies
998 Views
Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu. Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu...
4 Reactions
35 Replies
853 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,855
Posts
49,787,464
Back
Top Bottom