Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa.
Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa...
Bibie Claudia Sheinbaum anatarajia kishinda Uchaguzi wa Mexico baada ya matokeoa ya Uchaguzi kuonesha akiongiza Kwa asilimia 60% Dhidi ya Mpinzani wake Mwanaume.
Huyu atakuwa ni Rais wa Kwanza...
Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana..na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi...
Habari za muda huu JF members and staff members nina changamoto hii naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia hii PM(private message) mana kila mara nikijaribu kutumia huwa inafikia stage hii hapa katika...
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna...
Yani mtu umeacha mambo yako atleast ufuatilie bunge la bajeti lakini badala yake mbunge anachangia hoja, linatokea limbunge lingine linasema taarifa, mchangiaji anakaa chini spika anampa nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.