Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
10 Reactions
125 Replies
1K Views
Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa...
4 Reactions
27 Replies
595 Views
Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni yafuatayo: 1. Kwenye uchaguzi wao wameaangalia sera zaidi, sio vyama vya siasa au utumbuizaji wa wasanii kwenye majukwaa ya kampeni...
23 Reactions
79 Replies
2K Views
Askofu Dr Shoo amewaomba Msamaha Waumini wa KKKT na Watanzania Wote aliowakosea na kuwakwaza kutokana na misimamo yake wakati akiwa Mkuu wa KKKT Hata hivyo askofu Dr Shoo hakuweka wazi Misimamo...
0 Reactions
5 Replies
68 Views
Kwa wapenzi wa kuvaa raba, sana sana za Jordan, kutoka Jordan 1 hadi 23 ipi your fav? Nikiambiwa nichague moja, Jordan 1, nikiambiwa tatu, nitaongeza 4 na 6.
4 Reactions
14 Replies
122 Views
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
19 Reactions
123 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa la sports. Nimejiuliza hapa sijataka kuumiza kichwa changu kutafta huko kwenye websites ya TFF na platforms zingine maana naweza kutana na majibu ya ajabu ajuae kua karia...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Nahisi tatizo lako ni kumuunga mkono Tundu Lissu ndio sababu ukaletewa bilionea akung'oe. Wewe ni mtoto wa Kimasikini hizo siasa hutaziweza njoo CCM upate pumziko la kweli la kisiasa. Mbowe...
1 Reactions
0 Replies
1 Views
Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia Nadhani huu ni...
20 Reactions
74 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,719
Posts
49,784,486
Back
Top Bottom