Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni. CHADEMA. ==== CHADEMA usiweke...
0 Reactions
5 Replies
57 Views
Habari za jioni! Moja kwa moja kwenye topic.Inasemekana wengine wana mikosi wengine ukilala nao riziki za mwanaume zinafunguka.Eti na mwanamke akiwa mjamzito riziki za mwanaume zinakata hapati...
3 Reactions
14 Replies
155 Views
Mfano mtu mlishatengana alafu UKa move on kuendelea na maisha lakini ukaanza Ku HEAL Ila sasa baada ya mda anakuwa anakutafuta tafuta utatumia MBINU GANI ILI aondoke kwenye maisha yako?
4 Reactions
22 Replies
167 Views
Wakuu, Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu. Mimi...
14 Reactions
76 Replies
2K Views
My people how's weekend? Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari. Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
29 Reactions
179 Replies
2K Views
Shoga hilo la kizayuni kutoka taifa teule la Israel Benjamin Cohen ambaye ni founder wa "PinkNews"na mmewe Anthony James wameasili mtoto mchanga. Cc. wana wa israeli wa Tanzania. Kujeni hapa...
2 Reactions
35 Replies
295 Views
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
16 Reactions
51 Replies
792 Views
Tafadhali Mwenye Offline Biblia software ninayoweza kutumia kwenye laptop au desktop yangu anitumie ni dowload!
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari, karibuni tuwasajilie biashara na huduma mbalimbali na hizi ndo huduma zetu tunazotoa: OUR SERVICES 1️⃣Company registration/ kusajili kampuni (200,000) 2️⃣Business name registration/Jina...
2 Reactions
14 Replies
186 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,269
Posts
49,769,880
Back
Top Bottom