Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
15 Reactions
400 Replies
4K Views
Inasikitisha sana, Katibu Mkuu wa chama tawala kupelekwa stand ya mabasi kufanya mkutano na kusikiliza kero za wananchi. CCM ni kikubwa na kina miaka zaidi ya 40, kwanini kifanyie mkutano stendi...
3 Reactions
8 Replies
117 Views
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza. Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
52 Reactions
153 Replies
4K Views
Hii Tabia Imeota mizizi na inakera sana kisa kiongozi unazuia watumiaji wa BaraBara Kubwa mfano BaraBara kubwa Unazuia mabasi na magari Yote yakusubiri utoke uliko na msafara unasubirisha magari...
1 Reactions
3 Replies
26 Views
My people how's weekend? Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari. Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
20 Reactions
109 Replies
1K Views
Mambozz. Jamani natafuta mwanaume wa kunioa humu jf. Awe na Hela kwenye Acc yake isome 900M na kuendelea. Awe na passport na imetiwa muhuri wa nchi 5 za ulaya kuendelea. Awe na nguvu za kiume...
11 Reactions
70 Replies
3K Views
Mohamed Said ameelezea mara nyingi namna Wazee wa Pwani walivyomtoa Nyerere Darasani Kwenye chaki na kumuingiza Siasani hadi akawa Waziri mkuu na hatimaye Rais Mwinyi na Mkapa inajulikana...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria – Busweru, Samweli Lunzebe kwa tuhuma za...
6 Reactions
35 Replies
496 Views
Inasikitisha mtoto abakwa na jirani, bibi yake ashindwa kesi Mahakamani, amlilia Rc Paul Makonda.
1 Reactions
8 Replies
174 Views
Wanaume wengi huwa wana vimada nje ila huwa wanajiamini sana kuwa hawachapiwi huko nje, wengi huamini kuhudumia wake zao vizuri na kupiga mashine vizuri ndio kuwatuliza Lakini tunaambiwa kati ya...
11 Reactions
66 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,240
Posts
49,769,012
Back
Top Bottom