Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
9 Reactions
23 Replies
220 Views
Habari wana jamii forums [emoji1366] Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa mda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa? For...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
My people how's weekend? Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari. Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
23 Reactions
149 Replies
2K Views
Wakuu nimeamini sisi wakulima wadogo wadogo hatutokaa tupate utajiri kupitia kilimo kamwe, Nimeshangaa bei za mahindi kwa huku Handeni mpaka sahivi eti gunia ni 35000 ukizingatia mahindi ya mwaka...
3 Reactions
9 Replies
302 Views
Habari za mishe mishe wakuu. Kila mtu anatamani harufu ya gari kutoka Japan. Tatizo linaweza kuja kwenye budget. Sasa tu-assume tuna maximum budget ya Mil 15 tu, je tunaweza kupata gari kutoka...
2 Reactions
2 Replies
54 Views
Habari za jioni! Moja kwa moja kwenye topic.Inasemekana wengine wana mikosi wengine ukilala nao riziki za mwanaume zinafunguka.Eti na mwanamke akiwa mjamzito riziki za mwanaume zinakata hapati...
2 Reactions
5 Replies
6 Views
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
5 Reactions
51 Replies
491 Views
Pichani ni GIRIKI mtu mwenye historia ya pekee kwenye tasnia ya udereva nchini. Licha ya kukimbiza sana gari kwa miaka mingi, hakuwahi kupata ajali
63 Reactions
344 Replies
29K Views
Mbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa asiyetambuliwa na Chadema (COVID 19) ameingia kwa kishindo wi layani mkalamo mkoani Singida kwa ajili ya kusherehekea Birthday yake Kadhalika Makamu mwenyekiti...
1 Reactions
0 Replies
1 Views
Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl) Sehemu ya kazi -Dar es Salaam Majukumu yake -Kufanya usafi wa nyumba ya wastani -Kufua nguo za watu wawili tu -Kupika chakula cha watu wawili...
5 Reactions
28 Replies
287 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,261
Posts
49,769,417
Back
Top Bottom