Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi.
Mojawapo na hili la mikopo ya...
Kuna kosa moja kubwa linavigharimu vyama vya upinzani Tanania. Na kosa hilo limekuwa kama mwiko kulizungumza. Ni kuwa vyama vya upinzani havijabalance mizani ya dini ndani yake.
Ni mwiko na...
Rais Samia Suluhu awasili nchini Korea Kusini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Korea, Mheshimiwa Yoon Suk Yeol. Ikumbukwe kuwa Korea ni moja ya washirika wakubwa wa maendeleo tangu tarehe 30...
Hospitali ya Rufaa ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro imezindua wodi ya kisasa ya wanawake wajawazito itakayotoa fursa kwa mwanaume kuingia wodini wakati mke wake akiwa kwenye hatua za kujifungua...
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya...
Ndugu wajumbe,ubora wa Vyuo Vikuu hupimwa Kwa Wingi wa tafiti na machapisho ya kitaalmu.
Kwa mujibu wa taarifa ya jarida la masuala ya Elimu ya Juu,Limetaha Vyuo 10 Bora Barani Afrika Kusini mwa...
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.
Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.