Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

A
Mimi ni Mkazi wa Ifakara Mkoani Morogoro, nina kero moja ambayo naona kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele mambo yanazidi kuharibika, bora niseme hapa kupitia JF ili ujumbe uwafikie wahusika...
5 Reactions
35 Replies
614 Views
Sina kazi nashinda na simu muda wote Nipo nipo tu sina muelekeo wowote Nimemaliza Chuo mwaka Jana Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Siku chache baada ya RC Makonda kuelekeza TAKUKURU wamweke ndani Mtendaji Kata ya Bwawani na asipewe dhamana kwa tuhuma za kuchukua rushwa milioni moja; wananchi wa kati hiyo zaidi ya mia mbili...
11 Reactions
38 Replies
549 Views
Mambo yako wazi hapa kwenye barua. Hoteli ya Ramada Resort inapongezwa kwa kuwa pepo ya mashoga (LGBT)
4 Reactions
34 Replies
563 Views
TK movement ni vuguvugu lililoanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo kuu la kuwaleta pamoja vijana ili kuwajengea fikra za kimapinduzi. Hatahivyo baadhi ya wanasiasa na wana habari wamekuwa...
0 Reactions
10 Replies
188 Views
Licha ya kwamba tumekuwa tukiwaponda sana Wazaramo kwa tabia za kupenda ngoma na shughuri na mafiga matatu lakini leo wacha niwaeleze sifa za wanawake wa Kizaramo. Hawa mademu wa Kizaramo wana...
6 Reactions
43 Replies
250 Views
Fatilia mjadala wa wazi wa wadau uliyo andaliwa na chama cha wanasheria Tanzania bara (TLS) kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya Tanzania. Je, ni lini katiba mpya itapatikana Tanzania...
4 Reactions
18 Replies
491 Views
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
15 Reactions
67 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amezindua wodi maalumu ya wanajwazito na kujifungua kwenye hospital ya Kanda KCMC ambayo itawaruhusu Wenza (wanaume,kina baba) kuingia na kushuhudia wake zao...
1 Reactions
24 Replies
174 Views
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
8 Reactions
64 Replies
988 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,122
Posts
49,765,926
Back
Top Bottom