Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.
Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
Karibu kufatilia muendelezo wa wiki ya pili ya Mjadala wa Wazi kuhusu Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania, ulioandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS) jijini Arusha.
Kwa ambao...
Achila mbali IDs au avatar yake...
Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe...
Wanakumbi.
BREAKING:
🇺🇸🇮🇱 Biden:
"Baada ya diplomasia ya kina kufanywa na timu yangu, na mikutano na wanadiplomasia wa kigeni, Israel imetoa pendekezo jipya."
Ramani ya njia ya usitishaji...
Hakuna kitu kibaya kama mtu kujihujumu mwenyewe/self sabbotage
Unataka kufanya jambo fulani lakini mwisho wa siku unajihujumu kwa mambo yaliyopita,kisa ulikuwa na bad back ground basi yanakufanya...
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.