Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amezindua wodi maalumu ya wanajwazito na kujifungua kwenye hospital ya Kanda KCMC ambayo itawaruhusu Wenza (wanaume,kina baba) kuingia na kushuhudia wake zao...
1 Reactions
19 Replies
94 Views
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
12 Reactions
62 Replies
905 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
6 Reactions
82 Replies
577 Views
A
Shule ya Msingi Kitonga iliyopo kwenye Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam (Ilala) iliyopo Kata ya Msongola, Kitonga ina Wanafunzi zaidi ya 4000 ambao wanatumia madarasa 13 huku wakitegemea Walimu...
0 Reactions
14 Replies
308 Views
Kwa Ufupi, Mara tu baada ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuapa tarehe 19 March 2021 akamteua David Kafulila kuwa mkuu wa Mkoa Simiyu. Kafulila akajielekeza moja kwa moja kwenye kupambana na...
28 Reactions
132 Replies
3K Views
Hawa ni wananchi wapo bonde la Jangwani karibu na club ya Yanga. Wengine wana hati wengine wana ofa Wote hao maeneo yao yanatwaliwa kwa ajili ya mradi wa uendelezaji wa Bonde hilo. Tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mtu alishindwa Ubunge wa Kigamboni ,huo Urais ataweza? Akamuulize Lowassa. Nje ya CCM ,hakuna mtu wa kuwa Rais Nchi hii.
1 Reactions
7 Replies
27 Views
Mambo yako wazi hapa kwenye barua. Hoteli ya Ramada Resort inapongezwa kwa kuwa pepo ya mashoga (LGBT)
1 Reactions
15 Replies
249 Views
A
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl. Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
14 Reactions
83 Replies
1K Views
Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
12 Reactions
245 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,113
Posts
49,765,516
Back
Top Bottom