Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine. Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na...
4 Reactions
33 Replies
757 Views
1. 2024 ASUS ROG Zephyrus G16 GU605MI-G16.U94070 Intel Core Ultra 9 185H 16GB RAM 1TB NVMe SSD NVIDIA GeForce RTX 4070 16" 240Hz OLED 6.1m 2. LENOVO LEGION PRO 5 16IRX8 1TB SSD 32GB RAM CORE...
1 Reactions
24 Replies
486 Views
Usiku hapa niko na hasira kama zote. Baada ya mwanamke mmoja niliyempa mimba na kuamua kuishi nae kwa ushawishi mkubwa wa ndugu. Kiukweli Mwanzoni wa maisha alikuwa binti mzuri Mwenye kila...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
1. Majuzi nilipata msiba wa Kaka yangu hapo Muhimbili basi akapelekwa Mochwari. 2. Kimbembe siku ya kumtoa kwa ajili ya ibada na Maziko. 3. Wale wahudumu kama hujatoa pesa ya chai utashinda...
1 Reactions
3 Replies
60 Views
Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃 ========= Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli...
9 Reactions
75 Replies
2K Views
Ni hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda...
5 Reactions
49 Replies
898 Views
hii aibu na uchafu wa kufanya tendo la ndoa kinyume na maumbile, ambalo pia ni kosa kisheria, inachochewa na nini hasa ndrugo zango? ni nini inasababisha kushamiri kwa hali hii? mbona sielwi...
3 Reactions
27 Replies
207 Views
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa...
0 Reactions
7 Replies
155 Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi. Cha...
24 Reactions
130 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,770
Posts
49,865,788
Back
Top Bottom