Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita. Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini...
1 Reactions
23 Replies
170 Views
Kwanza vitu vingine kwenye maisha sio lazima ni sifa tu, hakuna utofauti wowote kwenye ndoa either ufanye sherehe au usifanye, lakini kumekua na kero kubwa sana juu ya hii Michango ya harusi, ndoa...
3 Reactions
23 Replies
238 Views
Hali inazidi kuwa tete katika mashariki ya kati na kwa Israel kufuatia taarifa kwamba wapiganaji wa Houth wameanza mazungumzo ya kuwapatia wanamgambo wa Alshabaab silaha kama walizonazo wao ili...
4 Reactions
40 Replies
718 Views
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na...
49 Reactions
159 Replies
3K Views
Ni kijiswali tu nilichojikuta kinanijia hivi kichwani Mungu, Vigogo wote wanaowalipa wako Dodoma,bona chawa wao wamekomaa tu Dar?
0 Reactions
4 Replies
6 Views
Hali zenu, SakoKwaBako! Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo. Tatizo langu ni la saikolojia...
10 Reactions
66 Replies
866 Views
Wakuu, Nawashangaa nyuki wa mama na utetezi wenu wa kipuuzi, oooh ameruhusu mikutano ya siasa, oooh amerusu vyombo vya habari kuongea vitakavyo, oooh wananchi wanajiachia watakavyo mtandaoni...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Niliskia safari zinaanza tarehe 14 basi nikamtaarifu make wangu na watoto tunakata tiketi tarehe 14 familia nzima twende Dodoma kwa Treni Yao ya SGR ili jumatatu tule Eid Dodoma Kituko Leo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna wimbi jipya na linapita kwa kasi sana. Ndani ya hilo wimbi yapo tunayoyajua lakini yapo ambayo hatuyajui ama tunayahisi, na wakati ukifika ndio tutajua kama tulikuwa hatujui. Audha kama...
2 Reactions
6 Replies
54 Views
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema wamealikwa kwenye kikao Cha kupitia Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa Lakini hawajapewa rasimu ya Kanuni Ili wazipitie na kikao ni June 15...
3 Reactions
38 Replies
893 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,691
Posts
49,863,439
Back
Top Bottom