Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mabosi wa kiume wamekuwa wakiwadhalilisha sana wanawake sehemu za kazi ila wanawake wengi hawana ujasiri wa kusema wazi. 1. Maofisini. 2. Vyuoni. Viongozi wengi sio waadilifu, wengi ni wasaliti...
4 Reactions
47 Replies
838 Views
Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili. Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe ...
8 Reactions
64 Replies
2K Views
Haya ni makubaliano ya mauzo ya mafuta kwa kutumia dollar ya Marekani yaliyorasimishwa baada ya mgogoro wa mafuta wa 1973. Ilikuwa ni tarehe 8 June 1974, mkataba huu ulipotiwa saini kati ya Saudi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter (X) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo kuliko nchi nyingi za Africa. Kafulila...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Nchi ya Senegal imeanza uzalishaji wa Mafuta ghafi Kwa mara ya kwanza ambapo itaanza na mapipa 100,000 Kwa siku Kupitia Kampuni ya Australia. Visima vya Mafuta vilivyopo ndani ya Bahati(kama gesi...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃 ========= Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli...
10 Reactions
96 Replies
3K Views
Usiku hapa niko na hasira kama zote. Baada ya mwanamke mmoja niliyempa mimba na kuamua kuishi naye kwa ushawishi mkubwa wa ndugu. Kiukweli Mwanzoni wa maisha alikuwa binti mzuri Mwenye kila...
2 Reactions
27 Replies
292 Views
Habari wadau Hivi mtoto akipenda kuchezea na kukalia ungo ni ishara gani? Serious answer please
2 Reactions
44 Replies
609 Views
Habari zenu, Nina mtoto wa kike ambaye kesho, tarehe 13/06/24, anafikisha miaka 11 kamili (Happy birthday in advance my daughter). Mtoto alizaliwa vizuri ingawa alikunywa maji machafu baada ya...
3 Reactions
8 Replies
156 Views
Unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k Kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa.... Ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha...
5 Reactions
37 Replies
712 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,805
Posts
49,866,509
Back
Top Bottom