Kimsingi, serikali haiamin uchawi,, lakini wanachi tuna imani tofauti tofauti ,, kwa wakristo na waislamu,, vitabu vinadhihirisha wazi uwepo wa uchawi, na wachawi wamekuwa wakiloga watu kwa mbinu...
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada
Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi...
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa...
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
Usiku hapa niko na hasira kama zote.
Baada ya mwanamke mmoja niliyempa mimba na kuamua kuishi nae kwa ushawishi mkubwa wa ndugu.
Kiukweli Mwanzoni wa maisha alikuwa binti mzuri Mwenye kila...
Ni hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda...
Habari wakuu.
Kwa wakazi na wenyeji wa Iringa, naomba kufahamishwa vivutio au sehemu ambazo zinavutia nje ya mji ambazo itakuwa day trip...namaanisha nitakwenda na kurudi kulala mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.