Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO...
Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi,Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti...
Hali zenu, #SakoKwaBako!
Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo.
Tatizo langu ni la saikoloji...
Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine.
Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na...
Kuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi.
Cha...
Mkutano wa CHADEMA wa Singida Magharibi ulioongozwa na Tundu Lissu umefana
Lissu amewataka wananchi kufanya mabadiliko kwenye serikali za mitaa ili kuondoa Migogoro
Naye John Pambalu ameitaka...
Habarini wana JF, kiufupi nimeleta andiko hili humu ili muweze kunisaidia ushauri maana naanza kuona sasa hii sio hali ya kawaida maishani mwangu.
Tukiachilia mbali wale wapenzi wa kula...
Katika dunia ya sasa, ambapo gharama za maisha zinapanda kila siku, ni muhimu kutafuta njia za ziada za kuingiza kipato bila kuacha kazi yako ya sasa. Hapa kuna njia 7 rahisi ambazo unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.