Kwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao:
1. Kwa ndugu zao
2. Nchi yenye vivutio vingi
3. Nchi yenye wasanii bora
4. Nchi yenye uongozi Bora
5. Nchi ya wakarimu
Wewe...
Nimekusikia ukiwa ziarani Singida jimboni kwa Elibariki Kingu eti ungekuwa na mamlaka ungemteua kwa kazi nzuri inayoifanya,
Swali Kingu kazi zipi njema anazozifanya mpaka ukaona mamlaka zinafaa...
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
"NullYou have insufficient balance to subscribe the service. But you can dial *137*09*02 to subscribe the service via M-Pesa". Hawa nao ni wale wa " ile hela tuma kwa namba hii", nao wanastahili...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikiri wazi kuwa Tangia nimepata fahamu vyema mpaka hapa nilipofika sijawahi kushuhudia Tetemeko kali la Ardhi kama nililoshuhudia usiku huu wa manane. Ni Tetemeko...
Mim ni mmoja wa wahanga katika kukopa mkopo katika taasisi ya fedha ya kukopesha inayoitwa Bayport Financial Service ambapo ni mwezi sasa toka nilipoomba mkopo mpaka rejesho la kwanza limefanyika...
Msimamizi wa pambano la hassan mwakinyo dhidi ya Patrick Allotey hajalipwa dola zake, hajafika kwenye pambano na hapokei simu, pambano limeshindikana kuchezwa kuchezwa kwa kuwania mkanda wa wbo...
Pambano la Mwakinyo na bondia kutoka Ghana limeshindwa kufanyika kwa kuwa Rais wa WBO, Samir Captan hakuwepo uwanjani kuleta mkanda. Maelezo ya Hassan Mwakinyo ni kuwa jamaa hajalipwa hela za...
Kama si Wakoloni, huenda Tanganyika kwa sasa ingekuwa ni nchi ndogo sana au kubwa sana kuliko ilivyo sasa.
Isingelikuwa Wakoloni, huenda Arusha na Kilimanjaro zingekuwa nchi zinazojitegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.