Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika.
Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao.
Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?
Mnatuonaje Watanzania...
Kupata mwongozo mkubwa wa kila njia nunua kozi hii: Kuza Kipato Mtandaoni: Jinsi ya kutengeneza pesa na kukuza Biashara yako mtandaoni – Swahili Sphere
1. Freelancing
- Freelancing ni kazi...
Mimi na mume wangu tuna miezi minne sasa lakini mimi nimekua nikimkosea sana wala hanipigi anaishia kulia tuu na baadaye kuniambia kanisamehe.
Juzi amekuta nimechat na mwanaume kimapenzi...
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.
Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.
Awe baba kwa watoto wake...
kwa Tanzania Bacca mna tunacho mdai. he is very good. naona next season yanga wampe uhuru akacheze ulaya. hata trial tu.
wasting his potential at yanga.
huyu hata Manchester United anapita.
Kupata ufafanuzi mkubwa wa kila njia, nunua kozi hii: Kuza Kipato Mtandaoni: Jinsi ya kutengeneza pesa na kukuza Biashara yako mtandaoni – Swahili Sphere
1. Online Marketing Research
- Utafiti...
Mimi naishi Zanzibar sasa ni mwaka wa 12, nimekuja huku nikiwa mdogo sana 2012 nikiwa na miaka 19, mpaka sasa naanza kuwa mtu mzima kuna mambo nayaona huku ambayo mtanganyika ukija huku ukakaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.