Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna kundi la watu ambao wanaiomba serikali ifungie twitter nchini kwa kudai kuwa twitter imeruhusu maudhui ya mapenzi ya jinsia moja. Hata hivyo, najiuliza ni mtandao gani ambao hauruhusu mapenzi...
0 Reactions
3 Replies
6 Views
Viongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa. RC jana katumbuliwa, ndiyo...
2 Reactions
7 Replies
240 Views
- Hili ndo' sakata la 'wanted man' wa Uingereza na kupotea kwa wanawake wawili huko mji wa Aba, Nigeria. Mwezi ulopita, mkuu wa jeshi la Polisi la Nigeria, IGP Kayode Egbetokun, hakuwa na namna...
12 Reactions
25 Replies
731 Views
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri....mfano khamis taletale au babu tale, mbunge wa sengerema khamisi tabasamu na wengine wote wenye...
1 Reactions
5 Replies
44 Views
Nimepata habari isiyo na shaka kuwa fomu za PEPMIS zitapaswa kujazwa na watumishi wa umma kila wiki Kama sasa hivi tu watumishi wanajaza kila mwezi wanakuwa bussy je, ikiwa watumishi watajaza kila...
2 Reactions
18 Replies
286 Views
Tunaiomba serikali sikivu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania; itoe kwanza mafunzo kwa viongozi wa taasisi na watumishi wengine juu ya namna sahihi ya ujazaji wa PEPMIS. Tukumbuke huu ni mfumo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
16 Reactions
198 Replies
2K Views
1 Reactions
11 Replies
185 Views
Hii hapo chini ni gari Mazda CX5 ya 2014 ambayo unamlipa mjapan milioni 14 unusu. Kikokotoo cha kodi ya tra kwenye gari hilo ni milioni 10 unusu. Ukijumlisha unapata kama milioni 25 hivi. Hapo...
3 Reactions
11 Replies
293 Views
Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji...
179 Reactions
1K Replies
195K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,470
Posts
49,858,350
Back
Top Bottom