Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa...
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili.
Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe ...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika...
Wapendwa natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo na kushauriana mambo mbalimbali . Mimi ni mwanamke wa miaka 33 ninayejielewa ni ivo tu [emoji28] maisha
DAR ES SALAAM - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo amesema vijana wengi kwa...
Hello Good afternoon all,
Elina Tarkazikis anasema Artificial Intelligence (AI) inaweza kukupa majibu mengi mno hata yale usiyoyahitaji au kuyapenda. Anasema Artificial Intelligence Calculator...
Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume,
Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
ROUTER YA AIRTEL
INAKUPA INTERNATE YA 4 G NA 5G ZENYE NGUVU
BEI ZAKE NI POA SANA
PIA UNAPATA UNLIMITED BANDO ( YAANI UKILIPIA UTATUMIA WEWE NA WENZAKO 64 BILA KUPUNGUZA NGUVU AU KUISHA KWA...
Katika Nchi tuna utaratibu wa kila chombo cha Moto kupata usajili kupata namba maalumu [maalufu kama Plata Namba]
Kwa magali tunaanza na T AAA na Sasa Tupo T EAA ,na Pikipiki zinaanza MC [Vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.